Fainali ya klabu bingwa ulaya 2024

Mashindano ya kandanda ya klabu bingwa ulaya yatakamilika wikendi hii kwenye fainali ya kukata kwa shoka nchini England kati ya Borussia Dortmund dhidi ya Real Madrid.

Ahmed Bahajj anaangazia mambo muhimu kuhusu fainali hiyo.