Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Manowari ya Marekani yaizamisha meli ya kivita ya Iran katika Bahari ya Hindi - Hegseth
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth hakutaja jina la meli ya Iran iliyoshambuliwa.
Je, huu ni msimu wa Arsenal wa kumaliza ukame wa Ligi kuu ya Epl?
Matumaini ya Arsenal ya kumaliza ukame wa miaka 21 wa kushinda kombe la ligi kuu ya Epl nchini England yamefufuka upya baada ya kuvuna ushindi katika mechi zake mbili zilizopita tena zote za debi la London
Marekani imetumia droni za gharama nafuu dhidi ya Iran kwa mara ya kwanza
Kutumia ndege zisizo na rubani zilizo na vifaa vya mawasiliano vya setilaiti huruhusu kudhibitiwa wakati wote wa safari.
Kwa nini viongozi wa Ulaya wameshindwa kuzungumza kwa sauti moja kuhusu Iran?
Waziri mkuu wa Italia, kwa upande wake, hajajihusisha na mashambulizi yanayoendelea Iran.
Kwanini Iran haijamshambulia jirani yake Uturuki licha ya kumiliki kambi za kijeshi za Marekani?
Kambi ya wanajeshi wa anga ya Incirlik na kambi ya Kürecik iliyoko Malatya ni miongoni mwa vituo muhimu zaidi vya kijeshi vinavyohusishwa na Marekani nchini Uturuki.
Wanafunzi na wafanyakazi waliouawa katika shambulo la anga nchini Iran wazikwa
BBC haijafanikiwa kuthibitisha idadi ya vifo vilivyotolewa na mamlaka ya Iran.
Iran ikiendelea kushambuliwa, Je, washirika wake Urusi na China wataingilia kati?
Urusi na China zote zinaimarisha uhusiano imara wa kidiplomasia, kibiashara na kijeshi na Jamhuri hiyo ya Kiislamu, lakini mgogoro wa sasa utaamua ni kwa kiasi gani ziko tayari kuiunga mkono.
Marekani dhidi ya Iran: Viongozi wa dunia wachukua misimamo tofauti
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi, amepinga shtuma kuwa wanawalenga mataifa jirani.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Mustakabali wa Bruno Fernandes Man United utategemea kufuzu katika klabu bingwa
Barcelona kuongeza juhudi kwa ajili ya beki wa Tottenham Micky van de Ven, Mustakabali wa Bruno Fernandes Manchester United unategemea kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa na Aston Villa wanamtaka Harry Wilson wa Fulham.
Wairan "Wanataka tuzungumze, nimesema 'wamechelewa sana' - Trump
Siku ya Jumapili, Trump alisema "angezungumza" na viongozi wa Iran kama wangetoa ombi la kutaka kufanya hivyo.
Sauti, Vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran: "Niliuza vitu vyangu nikijua nitasafiri" - Mkenya, Muda 3,07
Mashambulizi yanayofanywa na Marekani, Isrel na Iran yametatiza pia safari za anga katika maeneo mbalimbali duniani.
"Mabomu yanapiga hadi nyumba zinatetemeka"
Amir ambaye anaishi mjini Tehran anasema wakaazi wengi wa mji huo, wamekuwa wakinunua vyakula kwa wengi ili kuweka akiba.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Wafahamu viongozi wakuu wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani ikishirikiana na Israel
Jeshi la Israel lilisema liliwauwa viongozi wakuu 40 wa jeshi la Iran
Mzozo wa DRC: Kuuawa kwa Willy Ngoma kunaashiria nini?
Msemaji huyo aliuawa kupitia shambulio la angani lililotekelezwa na FARDC eneo la Rubaya Jumanne usiku, shambulio ambalo liliwaacha viongozi kadhaa wa M23 na majeruhi.
Fahamu mfumo wa utawala wa Iran
Kiongozi wa kidini ndiye kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran na anadhibiti vyombo vyote vya usalama.
Kwa nini unapaswa kufungua kwa kula tende wakati wa Ramadhan?
Sukari inayopatikana kwa tende husaidia kuongeza viwango ya sukari mwilini kwa haraka ikilinganishwa na vyakula vingine ambavyo huchukua muda kumengenywa.
Pablo Escobar hadi "El Mencho": Je, enzi ya viongozi wa magenge ya dawa za kulevya imekwisha?
Kwa miongo kadhaa, Amerika Kusini imeshuhudia mapambano kati ya mamlaka za ndani na viongozi wa magenge ya biashara ya dawa za kulevya, viongozi wa magenge ambao wamejulikana kwa majina na sura zao na wamekuwa wakikimbia kwa miaka mingi.
Ni kwa kiwango gani China na Urusi zitasaidia Tehran iwapo mzozo utazuka kati ya Iran na Marekani?
"Inaonekana kuwa hivi sasa, lengo kuu la China na Urusi ni kutuma ujumbe wa kuzuia Marekani kutopanua zaidi uwepo wake na kuhamasisha vikosi katika eneo", mtaalam Yulia Roknifard anasema.
Tamu na chungu ya maridhiano Tanzania
Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili ya nani, na kwa gharama gani?
Kwaresima: Kwa nini kipindi hiki 'takatifu' ni cha kipekee kwa Wakristo duniani?
Kufunga kwa wakatoliki hujikita sana kwa maisha ya kiroho na huruma ya mtu, kwa hivyo wakati wa kufunga si kubadilisha tu lishe,bali tabia na mienendo ya mtu.
Mataifa ambayo muda wa kufunga Ramadhan utakuwa mrefu zaidi 2026
Mataifa yaliyo kusini mwa ikweta yatashuhudia mfungo wa muda mfupi.
Jinsi silaha za kisasa zilivyobadili mwenendo wa vita vya Ukraine
Ndege zisizo na rubani na silaha nyingine za kisasa zimekuwa zikitumika kwa wingi zaidi kadiri vita vinavyoendelea.
Kijiji ambacho kuoana mkiwa dini tofauti ni kifo
Mauaji ya wanandoa wa imani tofauti ya dini yameshtua kijiji kidogo katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India ambapo wakazi wameishi kwa amani kwa miaka mingi.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 5 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Listen Live, Dira Ya Dunia, 18:29, 4 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 4 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 4 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani