Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
'Babu yangu ni pacha, bibi yangu ni pacha, sisi pia ni pacha na watoto ni pacha'
'Babu yangu ni pacha, bibi yangu ni pacha, sisi pia ni pacha na watoto ni pacha'
Kutana na vizazi vinne vya familia hii ya Nigeria ambao waliozaliwa mapacha kuanzia kwa babu mpaka watoto wao.
Familia hii inatoka katika mji wa mapacha wa Nigeria Igbo-Ora ambao una viwango cha juu zaidi vya kuzaliwa kwa mapacha duniani
Kiwango cha juu cha mapacha wa Igbo-Ora wanahusishwa na chakula cha jamii ya kaini, Amala na Ilasa.
Wana imani kwamba chakula kinasaidia wanawake kuzalisha mayai mengi.