Patrick Kimaro: Askari aliyestaafu ajiandalia kaburi kabla ya kifo chake

Kifo ni jambo linalosubiriwa na kila mmoja lakini ni wachache wenye uwezo wa kujiandalia makazi baada ya kifo.

Askari Polisi mstaafu Patrick Kimaro ni mmoja kati ya wachache waliojiandalia kaburi na jeneza kabla ya kifo, uamizo huu ulitenganisha familia yake lakini je Sasa hali ikoje ikiwa ni mwaka mmoja tangu alioianza ujenzi wa kaburi hilo nyumbani kwako huko Moshi, Kilimanjaro.