Coronavirus: Matukio katika picha

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mchoro ukionyesha namna ya kupiga chafya ili kujikinga na virusi vya corona huko Senegal

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Dini ya wa-Orthodox Ethiopia

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kijana mmoja akitoa machozi wakati wa maombi mjini Nairobi

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Ivory Coast

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Watu wengi barani Afrika wamekuwa wakifanya maombi dhidi ya maambukizi ya corona- Nigeria mjini Abuja

Chanzo cha picha, Getty Images

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, Getty Images

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kiongozi wa mtaa akitoa maagizo dhidi ya kujikinga na corona , mjini Kampala Uganda

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Kijana akicheza Afrika Kusini siku ya Jumatano

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Watu wengi wameonekana kutumia ndimu na machungwa kujikinga kama kinga maambukizi ya corona

Images: Getty, EPA, and Reuters