Habari za picha wiki hii 6-12 Machi 2020

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Jinsi viongozi wa upinzani Tanzania walivyosindikizwa jela baada ya kutoka mahakamani jijini Dar es Salaam siku ya jumanne baada ya hukumu kutaka walipe faini ya $150,000 (£119,000) kwa kosa la kuandaa mikutano ya hadhara bila kibali.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Kumbukumbu ya mwaka mmoja ya ajali ya ndege ya Ethiopia, iliyotokea muda mfupi baada ya kupaa mjini Addis Ababa.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Vijana wakisaficha makaburi ya wapendwa wao huko Liberia, siku ya jumatano ambayo ni siku ya kupamba.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Nchini Ghana , mtoto akitembea kwenye gwaride katika sikukuu ya uhuru siku ya ijumaa...

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Miaka 63 ya uhuru wa nchi za Afrika Magharibi, Ngoma za asili zilitumbuiza

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mlipuko wa ugonjwa wa corona wafanya watu barani Afrika kuanza kuvaa 'mask. Hapo ni nje ya hospitali ya Cameroon katika mji mkuu wa l, Yaoundé - eneo ambalo raia wa Ufaransa alitibiwa -19.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Binti mdogo akinawa mikono siku ya Jumatano kabla ya kupanda katika daladala mjini Kigali, Rwanda ili kuepuka maambukizi ya corona.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Corona imeibua mianya mipya ya ujasiriamali mjini Johanesburg

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Sherehe ya siku ya mwanamke Sudan, mjini, Khartoum

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mashindano ya baiskeli mjini Cape Town... Afrika Kusini

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Sherehe za kihindi za Holi-mjini Durban, Afrika Kusini zinasohusisha kupaka rangi zikimaanisha upendo na maisha mapya....

Chanzo cha picha, AFP

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Siku ya Jumanne, mlimbwende Ahlem Souidi akiwasilisha Tunis katika mashindano ya Miss Arab World.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Ujenzi wa uwanja wa ndege, Nigeria, Abuja.

Images: AFP, EPA, PA and Reuters