Mbilia Bel :'Ukitaka kuwa kama mimi jiheshimu'
Mbilia Bel :'Ukitaka kuwa kama mimi jiheshimu'
Mbilia bel maarufu Malkia wa Rhumba barani Afrika , ni msanii wa kwanza wa kike kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aliyejizolea umaarufu mkubwa miaka ya sabini na themanini.
Amekuwa katika ulingo wa burudani kwa miaka 40 lakini bado ana nguvu ya kucheza na kuimba.
Je ni nini kimemwezesha kusalia kileleni kwa muda huo mrefu?
Amezungumza na mwandishi wa BBC Anne Ngugi.



