Mpiga gitaa maarufu duniani apoteza fahamu jukwaani.
Mpiga gitaa maarufu duniani apoteza fahamu jukwaani.
Mpiga gitaa maarufu nchini Marekani Carlos Santana amepoteza fahamu jukwaani wakati wa tamasha la wazi karibu na Detroit, Michigan. Wahudumu wa afya walimtibu Carlos mwenye umri wa miaka 74,aliyesema "alisahau kula na kunywa maji.