Sababu zinazotufanya kuvaa kama wanawake katika maonyesho
Kikundi kimoja cha wanaume nchini India wanavaa kama wanawake wanapokuwa wanacheza muziki wa Gidha- muziki maarufu katika mji wa Punjab.
Gidha ni muziki wa asili ambao unachezwa na wanawake peke yake wakati wa shughuli wakati wa sherehe.
Watu wameanza kugundua sanaa yao baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii.